GET /api/v0.1/hansard/entries/1442107/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1442107,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442107/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana Mhe. Spika. Nimesikia rafiki yangu Mheshimiwa Mbunge wa Mombasa akisema kuna kodi imewekwa kwa wagonjwa wa saratani. Ningependa anieleze ni kipengele kipi katika huu Mswada kinachoongea kuhusu hilo. Haya mambo ya kumisinform ama kudanganya Wakenya kwa mambo kama hayo kwa sababu ya siasa ni makosa. Haifai kufanyika."
}