GET /api/v0.1/hansard/entries/1442119/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1442119,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442119/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Order, Mama Zamzam. Take your seat, Mama Zamzam. Order Mama Zamzam. Mheshimiwa Zamzam, wewe ni Mheshimiwa na mama wa heshima. Nami nakuheshimu sana. Wewe huongea Kiswahili sanifu na husema mambo yanayoeleweka. Kuanza kujibizana na wenzako across the Floor ni kushusha heshima yako. Sasa ninakuambia uondoe ulichosema. Sema kwamba hakiko na uendelee na mambo mengine. Kubishana na kupiga kelele haina faida kwa hili jumba."
}