GET /api/v0.1/hansard/entries/1442127/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442127,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442127/?format=api",
"text_counter": 225,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Hata. Nitalalamika kwa sababu yule mzee wa nywele nyeupe amenitukana. Hata stove ya kupikia wameiongeza 3 percent. Naangalia motor cycle na wale wa bodaboda ambao walipromisiwa mambo yatakua shwari. Waliambiwa “tutafanya, tutatenga, na tutafanya hivi na vile.” Wameongezewa 3 percent katika custom values . Hata tairi ya boda boda, gari na wheelbarrow. Wheelbarrow ina tairi. Mmeongeza ushuru kila mahali kama mumeongeza shilingi tisa kwa fuel. Mgala muuweni ila haki yake mpeni. Mlidanganya wananchi na mkasema mtasaidia boda boda na mama mboga katika Jumba hili. Mmepewa laki moja moja kuja kupiga kelele."
}