GET /api/v0.1/hansard/entries/1442132/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442132,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442132/?format=api",
"text_counter": 230,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohamed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika, pengine nikizungumza kwa upole Wakenya watanisikia. Wakenya mmeuzwa na Serikali mlioichagua. Ushuru kwa mkate, edible oils na magari ulikuwa ni drama tu, shetani yumo ndani ya Mswada huu. Wamejilimbikizia pesa za starehe huku wakisahau mahitaji ya Wakenya. Ninaomba mtusaidie kuwasaidia. Asante sana, Mhe. Spika."
}