GET /api/v0.1/hansard/entries/1442334/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1442334,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442334/?format=api",
    "text_counter": 35,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Spika. Tunaelewa kwamba jana kulikuwa na maandamano ya amani. Vile vile, tunaelewa kwamba katika maandamano hayo, askari wetu walifyatua risasi na kuwaaua wale waliokuwa wakifanya maandamano. Waliokufa ni watoto wetu, Wakenya. Ni vyema ikiwa Bunge hili la Seneti litachukuwa dakika moja au mbili kuomboleza kwa ajili ya wale watoto waliouwawa. Ningependa tuchukuwe nafasi hii kabla ya kuendelea na taratibu za Bunge ya vitu ambavyo tunatakikana kufanya, tuwakumbuke marehemu wakenya wenzetu ambao wamelala katika mortuary na familia zao zinahuzunika kwa kuwapoteza wapendwa wao. Asante."
}