GET /api/v0.1/hansard/entries/144238/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 144238,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144238/?format=api",
    "text_counter": 131,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bi. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Ahsante sana, Bw. Naibu Spika. Kwa ukweli, Naibu wa Waziri ametambua mambo yaliyotokea tarehe 13, lakini nasikitika sana kwa sababu tangu miaka ya 1990s, mabomu hayo yako hapo. Jambo hilo limeripotiwa kwa muda mrefu sana ili wanajeshi wetu wa Kenya waende wakayatoe mabomu hayo. Lakini hadi sasa, hakuna hatua iliyochukuliwa. Ningemuomba Naibu wa Waziri ajibidiishe kwa njia ya ukweli kwa sababu hayo ni maeneo ambayo watu wanaishi na mabomu. Mabomu hayo yamesababisha maafa ya watu 13, zikiwemo ngamia, mbuzi, ng’ombe na binadamu. Mabomu hayo pia yamechanganyika na yale ya wanajeshi wa ng’ambo. Bw. Naibu Spika, kwa ukweli---"
}