GET /api/v0.1/hansard/entries/144240/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 144240,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144240/?format=api",
    "text_counter": 133,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bi. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Mabomu hayo yatatolewa lini? Kuna kijana mmoja anayeitwa Betro Loronkiya ambaye amepiga ripoti mara nyingi. Alipoenda kupiga ripoti kwa polisi, aliwekwa ndani. Sasa, ninataka Naibu Waziri athibitishe jambo hilo kwa sababu tuko na stakabathi za kutosha."
}