GET /api/v0.1/hansard/entries/144243/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 144243,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144243/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Musila",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 94,
"legal_name": "David Musila",
"slug": "david-musila"
},
"content": "Kwa hivyo, tunaomba wananchi wajue kwamba vifaa hivi ni hatari. Pia, tunawaomba wanapovipata watueleze ili tuvichukue. Kwa sasa, tumeacha kufanyia mazoezi pale. Tunaendelea kusaka sehemu hizo zote kwa minajili ya kutafuta hivyo vifaa."
}