GET /api/v0.1/hansard/entries/1442433/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442433,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442433/?format=api",
"text_counter": 134,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "Mwisho, jana tukiwa ndani ya ambulance tukijaribu kutoroka, kuna wengine walibebwa na helicopter kutoka Kenya International Convention Center (KICC) wakienda kutua nyumbani mwao. Hata Spika wetu alikuwa katika hali ya hatari. Nilienda kuangalia kama yuko sawa wakati wengine walikuwa wakibebwa na helicopter na akasema yuko salama. Jana tungekufa wakati wale waliokula pesa wakichukuliwa na"
}