GET /api/v0.1/hansard/entries/1442435/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442435,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442435/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "ilhali sisi tukipigwa na risasi na mawe. Nashukuru wale askari waliombeba Spika wetu wakampeleka akiwa salama. Mhe. Spika, tukienda kwa hii recess, ningetaka wale ndugu zetu tunaowaangalia wakila wafikirie, wakati sisi tunawaangalia wao wakila, kwani sisi na watu wetu hatuna hiyo njaa? Mfikirie na mkirudi Bungeni mtuambie kama hayo mambo ya corruption yatapunguzwa au la. Kama hayatapunguzwa, kama President wetu hawezi kuongelea"
}