GET /api/v0.1/hansard/entries/1442439/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1442439,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442439/?format=api",
    "text_counter": 140,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Tukienda likizo yetu, tunataka kuenda nyumbani kwa sababu watu wameniona kwa television nikipigwa na mawe na wananipigia simu wakitaka kujua kama niko hai. Wananiuliza kwa nini watu wengine walibebwa na helicopter wakati wewe uliingia ndani ya ambulance. Kwa hivyo nataka kurudi nyumbani niwaambie watu wangu tuko salama na waendelee kukaa salama. Ningeomba kabla turudi hapa, tupitishe ile Hoja ya kuenda Busia ili Secretariat wawe na nafasi ya kufanya kazi yao. Tukirudi hapa tuwe kama ndugu na marafiki. Asanteni sana. Mhe. Spika, nimeshukuru sana."
}