GET /api/v0.1/hansard/entries/144247/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 144247,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144247/?format=api",
    "text_counter": 140,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Musila",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 94,
        "legal_name": "David Musila",
        "slug": "david-musila"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, hilo ni swali la kustaajabisha sana kwa sababu ni jeshi la Kenya ambalo linafanya mazoezi pale. Jeshi la Kenya lina manufaa mengi sana kwa wananchi wa Kenya. Kwa mfano, linatoa ulinzi kamilifu kwa nchi. Hata kama hakuna anachoweza kukubali, mhe. Chachu anapaswa kukubali kwamba Wakenya wanalindwa na majeshi ya Kenya. Hiyo pekee ni faida tosha. Kuna faida nyingi ambazo sitataja wakati huu."
}