GET /api/v0.1/hansard/entries/144248/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 144248,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144248/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Musila",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 94,
        "legal_name": "David Musila",
        "slug": "david-musila"
    },
    "content": "Jambo la maana ni kwamba jeshi lolote ni lazima lifanye mazoezi. Kwa kuzingatia sheria, Serikali ina uwezo wa kutenga sehemu fulani kuwa za mazoezi katika kifungu 199 cha Sheria zetu. La muhimu ni kwamba mazoezi yakiisha, vifaa vilivyotumika vitolewe na wananchi wajulishwe. Kifungu cha tatu cha sheria zetu, kinasema kwamba wananchi hawaruhusiwi kutangatanga ovyo ovyo katika sehemu zilizotengwa kwa minajili ya mazoezi ya wanajeshi."
}