GET /api/v0.1/hansard/entries/144252/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 144252,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144252/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Musila",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 94,
        "legal_name": "David Musila",
        "slug": "david-musila"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ningependa kumsahihisha mhe. Abdirahman. Inaitwa “fidia” na si “ridhaa”. Hilo ni swali ambalo uchunguzi ukifanywa na ipatikana kwamba Serikali ilifanya makosa--- Bila shaka tutathibitisha jinsi mambo yalitukia. Pia, tutatekeleza yanayohitajika. Hilo litakuwa ni suala lingine."
}