GET /api/v0.1/hansard/entries/144253/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 144253,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144253/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Musila",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 94,
        "legal_name": "David Musila",
        "slug": "david-musila"
    },
    "content": "Hata hivyo, kwa wakati huu, jambo la muhimu si fidia bali ni kuhakikisha kwamba wananchi wanalindwa. Sharti waonywe wasikaribie maeneo ambayo yana vifaa hivyo. Wakiviona vifaa hivyo, basi wapige ripoti kwa polisi. Hii ni kwa sababu lazima vifaa hivyo vitapatikana huko."
}