GET /api/v0.1/hansard/entries/144255/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 144255,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144255/?format=api",
"text_counter": 148,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Musila",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 94,
"legal_name": "David Musila",
"slug": "david-musila"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, Bw. Wamalwa ni wakili na bila shaka anaelewa mambo haya. Hapo awali nilisema kwamba kijana huyo alichukua bomu hilo na kulipigisha kwenye mwamba. Hicho kitendo kililifanya hilo bomu kulipuka. Hayo mambo yatafikiriwa wakati wake ukifika. Kwa sasa, tunasikitika kwamba mtoto wa miaka 12 aliaga dunia kwa sababu ya mlipuko wa bomu."
}