GET /api/v0.1/hansard/entries/144262/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 144262,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144262/?format=api",
"text_counter": 155,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Letimalo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 68,
"legal_name": "Raphael Lakalei Letimalo",
"slug": "raphael-letimalo"
},
"content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Mlipuko wa bomu ulitokea huko Samburu ya Kati na pakatokea maafa ya mtoto mmoja na watu wengine 13. Aidha kulikuwa na mlipuko wa bomu huko Samburu ya Mashariki na pakatokea maafa ya watu na uharibifu wa mali. Jukumu la Serikali ni lipi kuhakikisha kwamba hapatakuwa na mlipuko wa bomu katika siku zijazo? Ni hatua gani Serikali inachukua kuwafidia wale wanaoathirika?"
}