GET /api/v0.1/hansard/entries/144270/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 144270,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144270/?format=api",
    "text_counter": 163,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Musila",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 94,
        "legal_name": "David Musila",
        "slug": "david-musila"
    },
    "content": "Ahsante, Bw. Naibu wa Spika. Nafikiri tunaelewa ni kwa nini mheshimiwa anafanya hivyo. Hili ni jambo la kusikitisha. Kama nilivyosema, tutachukua makaratasi yale. Sisi tuko tayari kupokea usaidizi na habari zozote ambazo zitatuwezesha kuzifanya sehemu hizo kuwa na usalama zaidi. Kwa hivyo, ninamwomba mheshimiwa kwamba kama ana habari nyingine zozote ambazo zinaweza kutusaidia, afike afisini mwangu ili tuweze kuyazungumzia mambo hayo zaidi."
}