GET /api/v0.1/hansard/entries/1442704/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442704,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442704/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "tuonane jicho kwa jicho, tuitane ndugu na dada kwa upendo wa Mungu, tutende haki na vizazi vijavyo vitushukuru kwa wema ambao tunafanya sasa. Kwa hayo mengi, kwa sababu nchi nzima inanitazama, mimi niko tayari kupambana kuhakikisha nchi ni moja, Wakenya ni wamoja, kila mtu apate haki yake na tusonge mbele. Kwa hayo mengi, Mungu awabariki. Mungu aibariki Serikali ya nchi ya Kenya."
}