GET /api/v0.1/hansard/entries/144272/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 144272,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/144272/?format=api",
"text_counter": 165,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi. Leshomo, stakabadhi ambazo umewasilisha Bungeni zinaonekana zinafaa, isipokuwa zile zinazotoka kwa magazeti. Kanuni zetu haziruhusu stakabadhi kutoka magazetini. Nyingine zote zinafaa. Nina hakika kwamba Waziri Msaidizi atazichunguza vizuri na kufanya kazi vilivyo."
}