GET /api/v0.1/hansard/entries/1442720/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442720,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442720/?format=api",
"text_counter": 128,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi. Spika wa Muda, nimepeana mfano kwa wale hawakuelewa Kiswahili. Mimi kama alivyotangulia kusema Mhe. Rais ya kwamba hatutachukua suluhu ya tatizo ya haya majuma mawili kana kwamba tumepata uhuru juzi. Tukubaliane kama taifa na sisi, Bunge la Seneti---"
}