GET /api/v0.1/hansard/entries/1442725/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442725,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442725/?format=api",
"text_counter": 133,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kama wenzangu waliotangulia kuzungumza, hizo nyongeza tulizowekewa kama Maseneta, mimi kama mwana wa Abdilahi, siko tayari kwa nyongeza hiyo. Ningependa ipelekwe pale ambapo itasaidia watu wengine wanaohitaji zaidi. Bi. Spika wa Muda, kwa hayo mengi, nashukuru. Mungu abariki taifa letu."
}