GET /api/v0.1/hansard/entries/1442785/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442785,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442785/?format=api",
"text_counter": 193,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": "Tulimwona Waziri akitoa kauli kuwa wanajeshi watashirikiana na polisi ili kukabiliana na watoto wetu. Ikiwa polisi wameshindwa na vijana wetu, je, watafaulu kule Haiti? Mambo yaliyotokea yanasikitisha sana. Naunga mkono wenzangu waliosema kuwa hatutaki---"
}