GET /api/v0.1/hansard/entries/1442790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442790,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442790/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": "Tumeona mambo ya Mhe. Rais hadi sasa Sen. Cheruiyot amekubali tuko uchi. Kwa hivyo, hii nguo tutajifunika vipi? Naomba pia haya mambo yote yanaenda kwa Mhe. Rais na akubali kuwa pia yeye aweze kufunikwa. Ili afunikwe, atafute wale watu wanaoweza kumsaidia, sio wale wanamharibia. Bi. Spika wa Muda, tumeona Mhe. Rais mwenyewe, kwa mfano, akisafiri kwenda USA kwa kifahari ilhali amewacha watu Kenya na njaa. Kusema kweli, hiyo ni pigo kubwa na watu wanaangalia na kuona. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate."
}