GET /api/v0.1/hansard/entries/1442794/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1442794,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442794/?format=api",
    "text_counter": 202,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 277,
        "legal_name": "Kibwana Kivutha",
        "slug": "kibwana-kivutha"
    },
    "content": "Nawaomba Mama Rachel na Mama Pastor Riggy G waweze kutoka ofisini ili zile fedha zao walizotengewa ziwafidie familia za wale watu wote waliofariki. Zigharamie huduma za mortuary na kufidia wazazi wao. Pia ziwalipie ada za hospitali wote walio hospitalini. Pesa walizotengewa zifanye kazi hiyo. Hata kama wao hawataenda, mimi kama mwenyekiti wa Kenya Women Senators Association (KEWOSA), naomba sisi Seneti tutoke sote tuwashughulikie walioathirika. Tumesimama kwa umoja siku zote tukiwa na shida. Hata Maseneta wetu wanatusaidia kuchanga, tuchukue hilo jukumu ikiwa Mhe. Rais au akina mama Rachel hawawezi kufanya. Nakumbuka wakati Mama Aida - wakati Prime Minister, Hon. Raila Odinga, alipopewa wadhifa, alisema hataki mshahara, kwamba huo mshahara ufanyiwe kazi zingine. Leo tunasubiri Mama Rachel na Pastor wajitokeze kusema hizo fedha zifanye kazi zingine. Bi. Spika wa Muda, vijana wanasema job creation ndio wanayotaka. Kwa hivyo, tutawafanyia vipi? Jana Catholic University waliniita kuwasaidia vijana kwa mambo ya"
}