GET /api/v0.1/hansard/entries/1442796/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1442796,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442796/?format=api",
"text_counter": 204,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": ". Ilinibidi niunge kama alumni ila nilishindwa niwaeleze nini, kazi itatoka wapi. Nakumbuka Bill yangu ilichukuliwa kumaanisha wale mawaziri hawafikirii. Walichukuwa Bill yangu waka copy-paste na kusema ni Bill ya Serikali. Mhe. Rais alipelekewa na kuambiwa hii Bill tumetengeneza, ilhali niliifanyia kazi ila ikarudi ikachukuliwa. Hawa mawaziri kazi yao ni nini? Tunaomba kuundwe tovuti pana ya utawala ya digitali ili isaidie vijana kuangalia vitu imepeanwa vipi. Tujue nani amepewa na ni nani hajapewa. Kuwe na nafasi ya vijana kuzungumza bila kuumizwa. Tumeona kwa vifaa vya hospitali kama Kenyatta Hospital mashine kama dialysis 20 au 30 haifanyi kazi. Inayofanya kazi ni kama tano pekee. Hiyo ni kusema nini? Na kuna mtu amelipwa kwa hiyo kazi aliyopewa. Tukipeleka wagonjwa pale tunaambiwa wamewekwa kwenye"
}