GET /api/v0.1/hansard/entries/1442875/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1442875,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1442875/?format=api",
    "text_counter": 71,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": ", irejeshwe mara moja ili watoto waweze kuenda shule wakijua watapata chakula. Jambo la mwisho na muhimu zaidi ni kwamba sisi kama Wabunge wa Seneti, na nakubaliana na alivyosema Kiongozi wa Waliowengi jinsi watu wanavyosema kwamba mishahara inaongezwa, mimi ninasema ya kwamba sitaki mshahara wangu uongezwe. Sitaki. Nimekataa. Bw. Spika, ninajua ndugu zangu Maseneta wako hapa na tunashida za pesa ndio. Lakini nina hakika watakubaliana na mimi ya kwamba sio wakati mzuri sasa sisi kuongezwa mishahara. Haifai na hatuitaki. Tumekataa."
}