GET /api/v0.1/hansard/entries/1443343/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1443343,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443343/?format=api",
    "text_counter": 113,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 380,
        "legal_name": "Shakila Abdalla",
        "slug": "shakila-abdalla"
    },
    "content": ". Ukosefu wa usawa kama huo unafanya vijana kuleta sintofahamu na taharuki. Ile Poti kuhamishwa Mombasa ni njia moja ambayo ilileta unyonge na udhaifu mkubwa Mombasa ikaonekana ni kama maonevu. Ile ndio rasilimali ambayo iko pale Mombasa lakini unakuta ilihamishwa ikapelekwa sehemu zingine ilhali vijana Mombasa wana randaranda kwa ukosevu wa kazi. Ukielekea Witu ambayo ni division, ikifika saa kumi na mbili kunawekwa curfew . Wa upande huu hapiti huku na wa huku hapiti huko. Kwa nini watu kama wale waekewe"
}