GET /api/v0.1/hansard/entries/1443373/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1443373,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443373/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Githuku",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13595,
        "legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
        "slug": "kamau-joseph-githuku"
    },
    "content": "nchi yetu. Wanaongea jambo la kweli kwa sababu tunapoongea, asilimia kubwa ya vijana katika Jamhuri ya Kenya hawana kazi. Kwa hivyo, wakati wanapotoa kilio, wanaposimama na kusema kwamba wanapigania haki zao za ukosefu wa kazi, wako na haki ya kusikizwa ili ijulikane ni nini wanachozungumzia. Sio kuwachapa na kuwafukuza kwa njia ambayo haistahili. Ni vizuri wasikizwa."
}