GET /api/v0.1/hansard/entries/1443381/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1443381,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443381/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Githuku",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13595,
"legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
"slug": "kamau-joseph-githuku"
},
"content": "waliopewa haikuwasaidia na wameingia hasara. Kwa hivyo, unaporeconstitute C abinet yako, yule Waziri awe ni wa kwanza kukanyaga mlango na kutoka nje. Atakapotoka nje, tupate Waziri ambaye atakuwa competent katika kufanya kazi ya kuinua hali ya uchumi katika Jamhuri yetu ya Kenya kupitia kilimo. Bw. Spika wa Muda, tulipokuwa wadogo, nakumbuka vizuri sana marehemu hayati Rais wa Pili katika Jamhuri wa Kenya alikuwa anasema kwamba kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wa Kenya. Nakubaliana na jambo hilo. Kwa hivyo, tunaposema kwamba tunataka kiongozi ambaye ana ukakamavu, uwezo na experience ya kuendesha"
}