GET /api/v0.1/hansard/entries/1443383/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1443383,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443383/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Githuku",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13595,
        "legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
        "slug": "kamau-joseph-githuku"
    },
    "content": "ile ya kilimo, tunasema jambo la haki. Linafaa lisikizwe na tuone kwamba tumewekewa kiongozi ambaye atapeleka Kenya mbele katika masuala ya kilimo. Nikiendelea kujadilia mambo ya corruption, katika serikali zetu za kaunti, kuna nafasi nyingi sana ambazo zilikuwa zimetolewa za kazi. Tumeona corruption ikiwa na magavana wetu katika kaunti zote 47. Magavana wengine wanaandika vijana kazi kupitia discrimination . Hilo ni jambo ambalo tunafaa kulilaani katika Bunge hili na tuseme kwamba kijana yeyote ambaye ana"
}