GET /api/v0.1/hansard/entries/1443385/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1443385,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443385/?format=api",
"text_counter": 155,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Githuku",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13595,
"legal_name": "Kamau Joseph Githuku",
"slug": "kamau-joseph-githuku"
},
"content": "ya kuajiriwa kazi katika kaunti yake aweze kupata kazi. Tusiandike wananchi wetu kazi kwa kujuana, kuwa alinifanyia campaign au alisimama nami katika mambo tofauti. Tupatie watu competent wafanye kazi na vijana ambao wamehitimu na kusoma ili Kenya yetu isonge mbele. Bw. Spika wa Muda, ningependa nitoe pendekezo kwamba ili Kenya lsonge mbele, jambo la kwanza ni kwamba Serikali hii lazima ipigane na ufisadi kabisa. Itakapopigana na ufisadi, hizi pesa ambazo zinapotea kila uchao zitakosa mashimo ya kuingia na zitafanyia wananchi kazi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}