GET /api/v0.1/hansard/entries/1443388/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1443388,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443388/?format=api",
    "text_counter": 158,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Bw. Mstahiki Spika wa Muda, asante sana kwa kunipa hii nafasi. Kwanza, nashukuru Kiongozi wa Walio Wengi na Kiongozi wa Walio Wachache Katika Seneti kwa kuketi pamoja na kuona ni vizuri tuwe na kikao kujadili yaliyotupata na yaliyowapata watoto wetu. Pili, ningependa kutuma risala za rambirambi kwa waliofariki katika mapambano ya kutafuta haki. Pia, nina watakia nafuu ya haraka waliojeruhiwa na walio katika hospitali tunapozungumza sasa hivi. Jambo lililotupata kutoka kwa wale Gen Z waliojitokeza ni kwa sababu ya mambo ambayo yamekuwa yakiendelea. Ukiniruhusu, nitaanza kwa kujibu kwa sababu kuna matamshi yaliyotolewa na Sen. Methu na yakarudiwa pia na Seneta wa Lamu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}