GET /api/v0.1/hansard/entries/1443473/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1443473,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443473/?format=api",
    "text_counter": 62,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Katika hii Seneti, tunafaa kuzingatia matumizi ya Kiswahili ili kuhimiza watoto wetu waliosoma Kiingereza wajifunze Kiswahili pia. Huwa tunaskia Sen. Faki anayetoka Mombasa anavyoongea. Yeye ni rafiki yangu wa karibu sana. Tukiendelea hivyo, watoto wetu watajifunza Kiswahili na nchi nyingi zitabadilika. Wazungu, Wajerumani na watu wa kutoka maeneo mengine watataka kujua lugha ya Kiswahili. Kiswahili kitukuzwe!"
}