GET /api/v0.1/hansard/entries/1443477/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1443477,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443477/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kathuri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13590,
"legal_name": "Murungi Kathuri",
"slug": "murungi-kathuri"
},
"content": "Nakushukuru sana Bw. Spika kwa fursa hii ya kuchangia kauli hii iliyoletwa na Seneta wa Mombasa ndugu yangu Mohamed Faki. Ameleta Hoja hii kulingana na utaratibu wa Kanuni za Kudumu 53(1) za Bunge za Seneti hii. Inasema ya kwamba, Seneta anaweza omba kauli kutoka kwa kamati kuhusu jambo lolote linaloathiri kaunti nzima, kaunti zaidi ya moja, taifa, kanda au mataifa. Na kwa umaarufu wako Bw. Spika, Kanuni ya Kudumu ya 53(3), imetupa kibali ndio tuchangie Hoja hii iliyotoka kwa Sen. Faki. Kanuni hii inasema, iwapo kauli imeombwa kutoka kwa kamati kwa mujibu wa aya ya kwanza, Spika anaweza kuruhusu maombi kuhusiana na kauli hiyo kwa muda usiozidi dakika 15. Kwa hivyo, nakushukuru kwa sababu pia tunachangia mambo ya lugha yetu ya taifa. Umeonelea utuongezee muda The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}