GET /api/v0.1/hansard/entries/1443515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1443515,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443515/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chimera",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "nyingi tukijaribu kubadilisha na kufinyanga sheria hii ili iwe sambamba na Katiba yetu. Sio sawa kumlimbikizia Mbunge lawama wakati huu kwa sababu ya NG-CDF . Bw. Spika, mimi ninazungumza hapa kwa sababu nimefaidika kutokana na mipango ya NG-CDF . Masomo yangu yote, kuanzia shule ya upili hadi chuo kikuu, nikisomea pale Chuo Kikuu cha Nairobi, nilifadhiliwa sana sana na NG-CDF ya Lunga Lunga. Haitakuwa vyema kumruhusu kiongozi mwenzangu ndani ya Bunge hili kuikashifu hazina hii. Iwapo mtu ana shida na hazina hii, basi aende mahakamani ama alete Mswada wa kuifutilia mbali hazina hii. Vile vile, niseme kwa kikamilifu, nimesikia kwamba tume ya Salaries and"
}