GET /api/v0.1/hansard/entries/1443564/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1443564,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443564/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kwa hiyo, kanuni hizi hazitatufaa kusaidia ile azma ya Serikali kuona kwamba wananchi wanapata afya bora kulingana na ruwaza yetu ya mwaka 2030 inavyosema. Naunga mkono kamati hii. Hizi kanuni zitupiliwe mbali. Mhe. Spika wa Muda, asante kwa kunipa fursa hii."
}