GET /api/v0.1/hansard/entries/1443598/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1443598,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443598/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, kwanza, ningependa kusema haikuwa nidhamu kwa Seneta wa Migori kujaribu kukata laini tukiwa hapa tunasubiri kama Maseneta tuliomtangulia katika Bunge hili. Pili, naunga mkono Hoja ya kupeleka vikao ya Seneti katika Kaunti ya Busia. Nilikuwa katika vikao vya kwanza vya Uasin Gishu, Eldoret kisha tukaenda Kitui na majuzi, Turkana. Vikao hivi vinapeleka Bunge kwa watu. Ukiangalia sehemu nyingi, serikali ni gavana na labda county commissioner. Tunapozuru maeneo haya na kuweka vikao inaeleza taasira kwamba serikali sio gavana na county commissioner pekee. Serikali ina vitengo vingi ambavyo vinapaswa kupeleka huduma mashinani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}