GET /api/v0.1/hansard/entries/1443747/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1443747,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443747/?format=api",
    "text_counter": 133,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Swali langu ni, ningependa kurudia tena kuhusu wafanyikazi ambao wanafanya kazi Uarabuni, Saudia. Mimi nikiwa Seneta wa Jimbo la Kwale, kuna shida kubwa sana katika Kaunti yangu. Baada ya miezi miwili au mitatu, utapata maiti kati ya wafanyikazi ambao wanafanya kazi kule Saudia ikiletwa Kwale. Miezi miwili iliyopita kuna mwanamke mmoja kwa jina---"
}