GET /api/v0.1/hansard/entries/1443837/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1443837,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443837/?format=api",
"text_counter": 223,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Cabinet Secretary for Roads and Transport",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. Kipchumba Murkomen). Bw. Spika, ningependa kwanza kusema ya kwamba katika bajeti ya barabara, uwezo hauko kwa mikono ya Wizara peke yake ila bajeti inapitishwa na Bunge la Taifa. Wakati tunapitisha hiyo bajeti, inakuja kama iko na pesa zote za barabara, ni barabara gani na itapewa pesa ngapi. Kwa lugha ya Kiingereza, inaitwa itemized budget . The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}