GET /api/v0.1/hansard/entries/1443838/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1443838,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1443838/?format=api",
    "text_counter": 224,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Cabinet Secretary for Roads and Transport",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Wakati bajeti inapitishwa kama ile schedule iliyopitishwa majuzi inayoonyesha pesa zinavyotumika, tayari imetenga pesa za kila barabara. Ukiangalia zile barabara nilizozisoma hapo awali, nilionyesha wazi kila barabara na kiasi chake kwa bajeti. Wakati hiyo schedule itatoka National Treasury mda wowote kutoka sasa, kila mkenya ataweza kuangalia ni pesa ngapi imetengwa kwa barabara ya kaunti fulani. Swali la kwanza la Sen. Kinyua lina maana sana lakini pia ni la kisiasa. It is a"
}