GET /api/v0.1/hansard/entries/1444147/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1444147,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444147/?format=api",
    "text_counter": 258,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Jambo lingine ambalo Mswada utasaidia ni kuongezeka kwa ukusanyaji wa kodi na ushuru. Hii ni kwa sababu, wafanyikazi wa gatuzi zetu hawatawakimbiza ama kuwavuruga hawa wafanyibiashara ama kuwaona kama sio watu. Nimeona imesemekana wakubaliane ni pesa ngapi watakuwa wakitoa kwa sababu watakuwa wanafanya kazi kwa maeneo yanayofaa kisheria, hakutakuwa na haja ya kuwakimbiza. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}