GET /api/v0.1/hansard/entries/1444149/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1444149,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444149/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nimekuwa nikiongea na Gavana na kumrai pengine tuwe tukifunga barabara siku ya Jumamosi na Jumapili ili wachuuzi wetu waje kuuza. Lakini Sen. Okenyuri ameng’amua na akajua tukileta Mswada huu, tutakuwa na sehemu zilizotengewa wachuuzi wetu. Itakuwa sasa ni rahisi kwa hawa wachuuzi wetu kufanya biashara bila kusumbuliwa na mtu yoyote."
}