GET /api/v0.1/hansard/entries/1444150/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1444150,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444150/?format=api",
    "text_counter": 261,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Mahali nimekuwa na tashwishi kidogo na labda wakati atakapokuwa akijibu ataangazia, nilijiuliza, kwa nini anahusisha sana Waziri wa Serikali ya Kitaifa ilhali mambo ya biashara kama hizi yako katika gatuzi zetu. Anapaswa kupatia Waziri wa Ugatuzi kwa sababu nchi yetu ni tofauti na mambo hufanywa tofauti. Kama Serikali ya Kaunti ya Laikipia ni tofauti na ile ya Kisumu, kwa nini unamhusisha Waziri wa Serikali ya Kitaifa?"
}