GET /api/v0.1/hansard/entries/1444151/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1444151,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444151/?format=api",
"text_counter": 262,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Sen. Esther, ukileta Mswada kama huu halafu uhusishe Waziri wa Serikali Kuu, huenda ikawa kama vile huduma ya Afya imeletwa katika gatuzi zetu lakini hela nyingi zinabaki kwa Serikali ya Kitaifa. Nataka tu usahihishe hiyo sehemu tusije tukaleta Mswada hapa halafu mambo mengi yanafanywa katika Serikali ya Kitaifa badala ya kugatuliwa. Mambo ya biashara kama hizi tayari yamegatuliwa. Hivyo basi, yashughulikiwe huko kwa hali inayofaa."
}