GET /api/v0.1/hansard/entries/1444152/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1444152,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444152/?format=api",
    "text_counter": 263,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Mimi naunga mkono ili watu wetu wasaidike. Ukiangalia katika Kipengele cha 15, kinazungumzia vile hawa wachuuzi watapewa leseni na kusajiliwa. Hili ni jambo nzuri ili mipango yoyote inapopangwa, kuwe kunajulikana idadi ya wachuuzi na ni biashara gani wanafanya. Kama kuna mifereji ya maji inatakikana ijulikane ni mingapi."
}