GET /api/v0.1/hansard/entries/1444153/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1444153,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444153/?format=api",
    "text_counter": 264,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nashukuru kwa kipengele hiki na inaonekana Mswada huu umezingatia kila kitu. Kwa hivyo hakuna mahali palipo na dosari. Haya yote yakizingatiwa, Mswada huu utaleta afueni na kuwasaidia watu. Itakuwa ni moja ya nguzo ya chama chetu kulingana na ahadi tulizotoa. Sen. Okenyuri kwa kweli amegonga papo ndipo. Nampongeza kwa sababu alikuwa Waziri katika serikali ya kaunti. Kwa hivyo, yeye ana uzoefu na ujuzi mwingi. Nimesikia yale mambo aliyosema. Tukiyaongeza na kuyazingatia tutapata Mswada uliobora zaidi."
}