GET /api/v0.1/hansard/entries/1444154/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1444154,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444154/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Kwa sababu yeye ni mama na waziri wa zamani wa kaunti, aghalabu Waswahili husema, kizaliwacho ni chema kuliko anayekizaa. Hivyo basi Mswada huu utakuwa bora zaidi ya vile alivyonuia na kufikiria."
}