GET /api/v0.1/hansard/entries/1444158/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1444158,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444158/?format=api",
    "text_counter": 269,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Okenyuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa nafasi hii. Ningependa kujibu. Kwanza, ningependa kufuata mkondo wa Seneta wa Laikipia, Sen. Kinyua. Mapema wiki hii, tumefurahia kuadhimisha siku ya Kiswahili. Kwa sababu nakienzi Kiswahili, ningependa kuzungumza kwa lugha hii."
}