GET /api/v0.1/hansard/entries/1444160/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1444160,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1444160/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Okenyuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, pia nampa shukrani zangu za dhati Seneta dada yangu mkubwa, Sen. Tobiko, ambaye anatoka sehemu ya Kajiado kwa kuwa ameweza kuchangia Mswada huu. Pia, ningependa kumpa shukrani Sen. Chimera, ambaye anatoka eneo la Kwale na ambaye anawakilisha vijana katika mrengo wa Serikali katika Bunge hili. Mwishowe ningependa kumpongeza Sen. Ogola, ambaye pia amechangia Mswada huu kwa moyo wake wa dhati."
}